Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) na Mtendaji Mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya China Railway 15 Bureau group Corporation (CR15G) Zhang Tonggang (kulia) wakiweka saini mkataba wa ujenzi wa daraja la Kilombero lenye urefu wa meta 384 na ujenzi wa barabara zake za miingilio za lami( kilometa 9.142).na jenzi wake utagharimu shilingi bilioni 53.2 .Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.na kushuhudiwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli (mwenye miwani) na kulia kwake na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbert Mrango.Pichani kutoka kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Tanroads , Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa Mikumi- Abdul Salim Ameir na Mbunge kutoka Morogoro Kusini Innocent Kalgeris Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya China Railway 15 Bureau Group Corporation (CR15G) Bw, Zhang Tonggang (kulia) wakibadilishana hati baada ya kuweka saini kwaajili ya ujenzi wa darala la Kilombero mkoani Morogoro, Daraja hilo lenye urefu wa kilometa 384 litagharimu shilingi bilioni 53.2. .Ujenzi wa daraja hilo utaziunganisha Wilaya za Mahenge na Ulanga. pamoja na kuboresha Usafiri wa mikoa ya kusini na kuleta kichocheo cha ukuaji wa shughuli za kiuchumi. (Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo)
MAMA MARIAM MWINYI ATEMBELEA SHAMBA LA NGANO LA MLEIHA NA KITUO CHA URITHI
WA KIHISTORIA SHARJAH
-
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H. Mwinyi, leo tarehe
16 Janua...
31 minutes ago

No comments:
Post a Comment