Mtumishi wa zamani wa Papa Benedict amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu kwa kuiba nyaraka za siri kutoka fleti ya Papa.
Katika
kujitetea mbele ya mahakama ya Vatikani, Paolo Gabriele alisema
alifichua nyaraka hizo za siri kwa mwandishi wa habari kwa sababu
akitaka kuonesha kile alichosema ni rushwa ovu ilioko katikati ya Kanisa
la Katoliki.
Msemaji wa Vatikani, Federico Lombardi, alieleza kuwa inavoelekea Papa atamsamehe mtumishi wake
No comments:
Post a Comment