Gari hilo lenye nambari za usajiri T 667 BGZ aina ya LANDCRUSEL limepata ajari usiku huu majira ya saa 4 usiku chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi wa dereva huyo aliye julikana kwa jina moja
Bw SANGA pia tarifa toka kwa dereva
mwenyewe kuwa alionja pombe kidoga mpaka sasa gari limefanikiwa
kuondolewa eneo la tukio na kuvutwa mpaka kituo kikubwa cha police mbeya
mjini hakuna majerui katika ajari hiyo.
Dereva wa aliye pata ajari Bw SANGA
No comments:
Post a Comment