kwanza katika maisha yangu ya muziki.... NIMEFANYA SHOW ASUBUHI
ALFAJIRI SAA KUMI NA MOJA.... hahahaha!! daah... thanks kwa wale
waliokuwa wavumilivu kumngoja Roma hadi alipopanda na mkaimba naye... na
mvua yetu!! Ila pia sitamlaumu aliyeondoka maana amechoka kwakweli!!...
ITZ KINDA BORING U KNOW!! Mtu anafika uwanjani saa moja night kutazama
show, anajidunga Serengeti zake hadi msanii apande saa 10 alfajiri
harafu kweli mtu huyu ukimwambia kidole cha mwisho juu atakuelewa??
finaly unakuta ninaperfom muda ambao funs wangu wengi wamesepa, na siyo
sawa kama yule aliyeperfom saa 6, 7... na siwalaumu walioondoka, siyo
kosa.... ila baliiidaaa.... sory for any dissapointment banduguz!! A did
what a planned .... no matter what!! DEUCES.
MIAKA 18 BAADAYE: JK AKUTANA TENA NA CATHERINE, BINTI ALIYEFANYIWA UPASUAJI
WA MOYO AKIWA NA MIAKA MINNE
-
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 29, 2026
amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad Minja, aliyefanyiwa upasuaji wa
moy...
1 day ago


No comments:
Post a Comment