![]() |
Azam wakipiga ndiki kabla ya mechi |
![]() |
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akisali kabla ya mechi |
![]() |
Kaseja akishukuru baada ya sala |
![]() |
John Bocco akielea kushangilia baada ya kufunga |
![]() |
Salum Abubakar katikati ya wachezaji wa Simba, Jonas Mkude kulia na Okwi kushoto |
![]() |
Benchi la Azam |
![]() |
Shomary Kapombe akimdhibiti Samir Hajji Nuhu |
![]() |
Kaseja akiwapanga mabeki wake wakati wa kona |
![]() |
Kipre Tcheche akimtoka Paschal Ochieng |
![]() |
Samir Hajji Nuhu akitafuta mbinu za kumtoka Kapombe |
![]() |
Kapombe baada ya kumpokonya mpira Nuhu anaondoka nao |
![]() |
Juma Kaseja akisujudu baada ya Simba kusawazisha bao |
![]() |
Simba wakipongezana baada ya bao la pili |
![]() |
Ochieng akizungumza na Kaseja |
![]() |
Ngassa anasafiri |
![]() |
Himi Mao Mkami akimtoka Mwinyi Kazimoto |
![]() |
Mkude anaondoka na mpira mbele ya Abubakr wa Azam, huku Amir Maftah akiwa tayari kumpa msaada |
![]() |
Bocco anamtoka Ochieng |
![]() |
Rafu iliyomtoa nje Bocco, aligongana na Kiemba |
![]() |
11 wa Simba walioipiga Azam leo |
![]() |
Humud akiwa hewani na Sunzu |
![]() |
Ngassa anawatoka wachezaji wa Azam |
![]() |
Ngassa anamuwajibisha Said Mourad |
![]() |
Okwi akijiandaa kufunga bao la tatu |
![]() |
Mwadini pamoja na kufunhgwa matatu, lakini aliokoa ya kutosha |
![]() |
Ulinzi ulikuwa mkali, lakini Okwi alipiga mbili.. SOURCE BIN ZUBEIRY |
No comments:
Post a Comment