PICHA NA
GERLAD KIMANGA
Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa
wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu
na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police
kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili
mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia.
PICHA NA
GERLAD KIMANGA
MS CORNER
mkuu its too easy kuandika hivi ''.....baada ya waislamu kuvamia......'' badala ya ''.....baada ya waislamu 'wenye siasa kali'......'' jua blog zako hawasomi wakristo watupu wanasoma watu wote, don't ever try to rely on any side when there are two opposing sides involved.
ReplyDelete