Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 12, 2012

Naibu Waziri Ummy Mwalimu azindua Kampeni ya ” Because I Am A Girl”


Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu leo amezindua Kampeni ya ” Because I Am A Girl” inayolenga kujenga mazingira yasiyokuwa na unyanyasaji wa Kijinsia kwa wasichana wote ndani na nje ya Shule,uzinduzi huo  umeratibiwa na Shirika la Kimataifa la Plan International Tanzania  na kufanyika katika Ukumbi wa Kalimjee.
Pichani juu ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na baadhi ya Wanafunzi na Watendaji wa Plan na Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto mara baada ya Uzinduzi
Mhe. Ummy Mwalimu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akiingia katika Ukumbi wa Kalimjee kwa Uzinduzi wa KampeniMmoja wa Wanafunzi akiuliza swali wakati wa mdahalo kuhusu Uzinduzi wa Kampeni hiyo
Mhe.Naibu Waziri akisalimiana na Watendaji wa Shirika la Plan International Tanzania

No comments:

Post a Comment