Warembo
wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha
ya pamoja Oktoba 7, 2012 wakati warembo hao walipo tembelea Hifadhi ya
Mlima Kilimanjaro na kuopata maelezo na kuzungumza na watalii na wapanda
mlima huo. Warembo 29 na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania wapo
Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii
wa ndani. Mbali na kutembelea hifadhi hiyo lakini warembo hao
walishiriki katika tamasha la michezo kwaajili ya kuchangia fedha na
vitu mbalimbali kwa watoto Yatima mjini Arusha. Oktoba 8 warembo
wanaendelea na ziara yao ikiwa ni pamoja na kutembelea kituo cha Redio
cha RADIO 5 cha mjini Arusha.
Washiriki
wa Redds Miss tanzania 2012 wakiwa katiak picha tofauti tofauti wakati
wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro KINAPA.
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Warembo wakiwa wakiwa katika eneo la maegesho ya magari KINAPA
Wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima Kilimanajaro
Wakipiga picha na baadhi ya watalii waliowakuta hapo.
Warembo
wa Redds Miss Tanzania wakimsikiliza Afisa Mhifadhi wa KINAPA, Eva Malya
aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya mlima huo.
Warembo wakiwa na nyuso za furaha wakiendelea kupata maelezo juu ya mlima
Hapa sasa
walibeba mabegi ili wapande Mlima. Endelea kutembelea Father Kidevu
Blog na ukurasa wa http://facebook.com/ReddsMissTanzania2012
No comments:
Post a Comment