Waziri
wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa
habari jana jijini Dar es salaam mara baada ya kukutana na ujumbe wa
Shirika la Fedha Duniani(IMF)uliopo nchini ili kutathmini hali ya ukuaji
wa uchumi ambapo ukuaji wa pato la Taifa kwa 2012 unatarajia kukua kati
ya asilimia 6.5 na asilimia 7.0. Ujumbe huo umesema kuwa uchumi wa
Tanzania unaendelea kuimarika vizuri . Kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo
wa IMF Bw. Paolo Mauro.
Vodacom Digital Accelerator na Bridge for Billions waingia ubia wa miaka
mitatu kuimarisha mfumo wa ujasiriamali Tanzania
-
*Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando (kushoto), akisalimiana na
Mkurugenzi wa Programu za Afrika wa Bridge for Billions, Liliosa Mbirimi
(kulia)...
18 hours ago

No comments:
Post a Comment