Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 9, 2012

Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE


UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
P0LICE wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya  Temeke

 Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
 Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao

No comments:

Post a Comment