Katibu
wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha
Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa
Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa kwenye
Gari ya Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa katika Hospitali ya Muhimbili
Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana
wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Wananchi
mbalimbali wakishuhudia Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga
akiwahishwa katika Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya
kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko
katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment