
Mkurugenzi wa Utafiti wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

Mmoja wa wahariri wa Clouds TV, Anatoli Kabez akisalimia na Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

Mfanyakazi
wa Prime Time Promotions Ltd, Godliver Nicholaus akiwapa jarida la
Kitangoma linalochapishwa na kampuni hiyo, Washiriki wa shindano la Miss
East Afrika 2012.

Mkuu
wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga akifafanua jambo
kwa Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.walipotembelea
studio za Clouds FM.

Mkurugenzi
wa Utafiti wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza
jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea
ndani ya studio za Clouds TV.

Washiriki
wa shindano la Miss East Afrika 2012 wakiwa katika picha ya pamoja
mapema leo mchana walipotembelea kampuni ya Clouds Media Group,
Mikocheni jijini Dar.

No comments:
Post a Comment