Meneja wa
Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto)
akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha
Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano
lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick
Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake Abdulazizi Abasi
(kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini
Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro
No comments:
Post a Comment