Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.