![]() |
| Waziri Mkuu, Raila Odinga |
![]() |
| Makamu wa Rais, Kalonzo Musyoka. |
Waziri
Mkuu wa Kenya, Raila Odinga na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kalonzo
Musyoka, wameunda muungano wa kisiasa kuelekea mshike mshike wa uchaguzi
mkuu unaotajia kufanyika mwakani, nchini humo. Imeelezwa kuwa wawili
hao wameamua kuunganisha nguvu ili kujiandaa kutoa upinzani kwa chama
Tawala na vyama vingine vya siasa vinavyshiriki katika uchaguzi huo.



No comments:
Post a Comment