Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 7, 2012

KILI STARS ILIPOKWAA KISIKI JANA NAMBOOLE, NI HUZUNI TUPU



SURA ZA HUZUNI; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia akifuatilia mchezo kati ya Bara na Uganda. Kushoto wake ni Waandishi wa Habari wa Tanzania, Somoe Ng'itu juu na Zaituni Kibwana pembe ni kabisa Z.H.

Mwinyi Kazimoto akiwa amezibiwa njia kwa staili hadi ya kulala kama unavyoona hapo

Cheki ulinzi huo langoni mwa Uganda, Ngassa na Bocco peke yao wangefanya nini

Amri Kiemba anakokota ngoma

John Bocco akiwa amezibiwa njia

John Bocco leo aliwekewa ulinzi mkali, kama unavyona hapa

Mrisho Ngassa akidhibitiwa na beki wa Uganda

Mwinyi Kazimoto akijaribu kufumua shuti mbele ya beki wa Uganda

Kipa kadaka, Ngassa na Bocco leo hoi

Kocha wa Stars, Kim Poulsen baada ya mechi

Kapteni Kaseja haamini macho yake

Emmanuel Okwi akifuatilia mchezo benchi baada ya kuumia na kutoka

Bocco mawindoni, lakini ulinzi wa kutosha ulimynima mabao leo.. na bin zubery

No comments:

Post a Comment