Katibu
Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwatangazia
watahiniwa wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2013
kuwa, mtihani huo utafanyika mwezi Februari. Mabadiliko ya mihula
yaliyofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yataanza kutumika
na Watahiniwa wa Kidato cha Nne mwaka 2013, ambao watafanya mtihani wao
mwezi Novemba na Watahiniwa wa Kidato cha Sita mwaka 2014 ambao
watafanya mtihani wao mwezi Mei.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
20 hours ago


No comments:
Post a Comment