skip to main |
skip to sidebar
MASKINI SHILOLE CHALII; ANGALIA PICHA ZIKUMUONYESHA MSANII SHILOLE AKIMWAGA CHOZI
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiangua kilio baada ya kuwakumbuka wasanii wenzake Kanumba na Sharo.
Tukio hilo lilitokea kwenye sherehe ya kutimiza miaka 13 ya Clouds FM, iliyofanyikia Club Bilicanas, Posta jijini Dar es Salaa.
Kilio cha Shilole kilisababishwa na Mtangazaji wa Clouds FM, Adam
Mchomvu baada ya kutoa fursa ya kuwakumbuka wasanii maarufu
waliotangulia mbele ya haki.
...Shilole akiwa na simanzi baada ya kuwakumbuka wasanii hao.
Akiwa jukwaani Mchomvu aliwaomba mashabiki waliojazana ukumbini humo
kunyanyua mikono juu na waliokuwa na simu aliwataka wazinyanyue juu huku
wakiwa wameziwasha ili zitoe mwanga.
Mtangazaji huyo alianza kuyataja majina ya mastaa waliofariki mmoja baada ya mwingine, huku watu kibao wakionesha simanzi zao.
...Kilio kikiendelea.
No comments:
Post a Comment