Gari
aina ya Rav 4 lenye namba za usajili T 770 BNP lililopata ajali eneo la
Tanangozi, Iringa lililokua likiendeshwa na Bw. Ezekiel Mwaiteleke
(Marehemu) majira ya saa sita na nusu mchana na kusababisha vifo vya
watu watano wa familia moja papo hapo jana Desemba 4, mwaka huu.

aina ya Scania lenye namba za usajili T 840 BST likiwa na tela lake
lenye namba T 566 BNQ likiwa limegongwa kwa nyuma na Toyota Rav 4 huko
Tanangozi, Iringa na kusababisha vifo vya watu watano wa familia moja
papo hapo.
Baadhi
ya akina mama wasamaria wema wa Tanangozi, Iringa wakijaribu
kumpepeleka mmoja ya majeruhi wa ajali iliyotokea jana eneo la
Tanangozi, Iringa likihusisha Toyota Rav 4 T 770 BMP lililoingia nyuma
ya tela lenye namba za usajili T 566 BNQ ambapo watu watano wa familia
moja waliokuwa wakitokea Dar kwenda Mbeya walifariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment