Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 11, 2012

PICHA ZA AJALI YA GARI ILIYOUWA WATUMISHI WATANO



Picha zote ni gari aina ya Toyota Hiace lenye namba T 771 AQD mali ya Shule ya Sekondari ya Scolastica ambalo lilipata ajali Desemba 10 eneo la kona ya Mto Kikavu iliyopo Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanajro na kuuwa watumishi watano wa shule hiyo baada ya kugongana na lori. Picha na Rodrick Mushi.

No comments:

Post a Comment