Kesho tarehe 7 Disemba 2012 kuanzia saa 3 asubuhi,rufaa ya kupinga
ushindi wa Ubunge Jimbo la Ubungo,dhidi ya Mbunbe wa Jimbo hilo kupitia
tiketi ya CHADEMA,John Mnyika itaanza kusikilizwa na jopo la majaji
watatu wa mahakama ya rufani.
Mbunge wa Jimbo hilo la Ubungo,John Mnyika anawaomba wanachana na
wampenzi wa chama hicho kufika Mahakamani hapo kwa wingi ili kusikiliza
Rufaa hiyo,Kama alivyonukuliwa akisema "tulivyotafuta kura tulikuwa
pamoja, tukapanga mstari kupiga kura pamoja na tukakesha kuzilinda
pamoja tujumuike pamoja kujua hatma ya kura zetu".
No comments:
Post a Comment