Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 16, 2013

AIBUU......SURUALI YAMUUMBUA LADY GAGA JUKWAANI BAADA YA KUCHANIKA KWENYE MAKALIO..ANGALIA PICHA






LADY gaga sasa anazidi kupata umaarufu kwa ajili ya shoo zake anazofanya kuwa na vituko . Nyota huyo katika shoo yake ya
hivi karibuni aliwaacha mashabiki wakiwa na mshangao baada ya kuinama huku suruali yake ikiwa imeachia nyuma kitendo hiko kilimuonyesha sehemu yake ya nyuma ikiwa wazi 

Nyota huyo hakuonekana kujali chochote na zaidi aliendelea kufanya shoo hiyo kitendo ambacho kimeonekana kumuongezea mashabiki na kumsababisha kupendwa na mashabiki wake wengi

No comments:

Post a Comment