Kijana
ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja jana alijikutana kwenye
wakati mgumu baada ya kupokea kichapo kutoka kwa askari wa jeshi la
polisi maeneo ya kigamboni mbele ya geti la Chuo Cha Mwl Nyerere mara
baada ya Kukataa kutii amri ya polisi iliyomtaka kutulia na kufungwa
pingu Mara baada ya askari hao kumkata na kumfunga pingu kijana huyo
alijikuta akionyesha umwamba na kuwapima ubavu askari hao na kupelekea
Kupokea kichapo hadi pale alipotiwa nguvuni na vijana hao wa Saidi
Mwema.
Mtuhumiwa
ambaye kosa lake halikuweza kufahamika kwa haraka (katikatika) akipokea
kichapo kutoka kwa askari polisi hao wawili mara baada ya kukataa amri
iliyomtaka kutulia na kufungwa pingu
Hapa mtuhumiwa alipogoma kupanda kwenye difenda ya Mwema na kupelekea Kupigwa tanganyika Jeki ilikupakizwa kwa nguvu
Wakazi wa
kigamboni Waliojitokeza kuona pambano hilo kati ya vijana wa Mwema na
Mtuhumiwa ambaye kosa lake halikufahamika mara moja ambalo liliteka
hisia za wakazi hao wa Kigamboni
No comments:
Post a Comment