Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 21, 2013

Dk. Mwakyembe kufuatilia malori kukwama Tunduma




Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema atalifuatilia kwa karibu suala la malori ya kusafirisha mizigo kukwama katika mpaka wa Tunduma mkoani Mbeya ili kuinusuru sekta ya usafirishaji aliyosema ni muhimu mno kwa uchumi wa taifa. Dk. Mwakyembe aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati akijibu risala ya Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini (Tatoa), Seif Ali. ambaye sehemu ya risala yake alisema, Malori yanayosafiri kwenda nchi za Zambia na Congo ambayo yanapita katika mpaka wa Tunduma huchukua  zaidi ya siku sita kusubiri kuvuka mpaka

No comments:

Post a Comment