Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’leo imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed Said.
SERIKALI KUPITIA REA KUZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
-
📌Kituo cha Kupoza Umeme Mtera
📌Mradi wa Kusambaza umeme katika vitongoji 9,009
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua ...
23 minutes ago


No comments:
Post a Comment