VURUGU
za makusudi zilizokuwa zimelenga kuharibu onyesho la msanii Naseeb
Abdul “Diamond” katika ukumbi wa New Club Maisha, zilikwama.
Watu
hao waliendelea kufanya vurugu na kutupa chupa za maji jukwaani hali
iliyopelekea wapenzi wa Diamond kuanza kujibu mapigo ghafla ukumbi ukawa
uwanja wa vita, zikaanza kurushwa chupa za bia, viti na mambo mengine
yaliyotishia amani hadi pale walinzi wa ukumbi huo walipofanikiwa
kuwatoa nje na onyesho likaendelea.
Diamond akiwa jukuwani na jasho likimtoka,kwa mabishano hayo. |
No comments:
Post a Comment