skip to main |
skip to sidebar
MSANII WA BONGO MOVIE SAJUKI AFARIKI DUNIA
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msani wa sanaa hapa nchini anayefahamika kwa jina Juma Kilowoko jina la sanaa SAJUKI amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya taifa muhimbili.Kwa
mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu
Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa
damu. endelea kutufuatilia tutakuletea habari zaidi baadaye kidogo..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.
source itv
No comments:
Post a Comment