Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea katika
mkutano na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) uliolenga kupata maoni ya
mtandao huo kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Jaji Warioba ni Bi. Ussu
Mallya, Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao huo, Prof. Ruth Meena 9Mjumbe wa
Bodi ya TGNP) na Mwenyekiti wa TGNP Bi. Mary Rusimbi.
Mwanachama
wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Asseny Muro akitoa maoni ya
mtandao huo kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya
Katiba leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa TGNP Bi. Mary Rusimbi na Mjumbe wa
Bodi ya mtandao huo Prof. Ruth Meena.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dkt. Sengondo Mvungi akiongea katika
mkutano na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) uliolenga kupata maoni ya
mtandao huo kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Wajumbe wengine wa
Tume Bi. Mary Kashonda na Bi. Salma Moulidi.
Mwananchama
wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Subira Kibiga akitoa maoni ya
mtandao huo kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya
Katiba leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam. Wengine ni wananchama wenzake Bi. Diana Mwiru (kushoto) na Bi.
Asseny Muro.
Baadhi
ya Wajumbe ya Mabadiliko ya Katiba katika picha ya pamoja na Wanachama
na viongozi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) mara baada ya mtandao
huo kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatano, Jan. 9,
2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam).
No comments:
Post a Comment