Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.
Askari
wa Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Wakitoa heshima za mwisho kwa mwili
wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan
alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo
hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu kwa heshima zote
za kijeshi
No comments:
Post a Comment