Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 25, 2013

Sasa Nick Mbishi The Playboy na Godzilla wa Salasala kuwa Kitu Kimoja.




Wasanii nyota katika makamuzi ya muziki wa Hip Hop Bongo, Nikki Mbishi na Godzilla ambao wote walipata nafasi ya kusikika baada ya mashindano ya 'Freestyle' wameamua kufanya project ya pamoja


Wakali hao ni pamoja na Nikki Mbishi ambaye alitamba na ngoma yake ya 'Playboy' akiwa amemshirikisha Ben Pol, kwenye ukurasa wake wa Facebook Nikki Mbishi ameandika kuwa anampango wa kufanya project hiyo na Godzilla


Tayari wadau wa muziki wameeleza kuwa mpango wa nyota hao wa muziki kufanya kazi pamoja huenda mafanikio yao yakawa makubwa kufikia hali ya kutisha katika anga za muziki

No comments:

Post a Comment