![]() |
Katibu wa TFF, Angetile Osiah akisaini hati ya makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa mapato.
|
![]() |
Mkurugenzi
wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Mama Juliana
Yasoda, akisaini hati ya makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa
na mgawanyo wa mapato.
|
![]() |
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga akisaini hati ya
makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa
mapato.source bin zubeiry
|





No comments:
Post a Comment