| Wasafi Dancers wakiwa Ready for Show......!! |
| Romeo J akiwa na Mama Naseeb in da House...!! |
| Penny & Halima walikuwepo kufanikisha usiku wa Diamond Platnumz unakuwa usiku wa Kukumbukwa Kigamboni..!! |
| From Left Dulla,Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas the Boss.....walikuwepo kutoa support...!! |
| Halima Kimwana Along side with Mama Naseeb & Penny Mungilwa |
| Hapa nikiwasili kwenye viwanja vya Navy Beach Kigamboni.....!! |
| Mashetani sasa si ndo yakapanda Kabla ya show...mapemaaaa |
| Rj kwa moja na mbili sasaaaa...haya twendeeeee |
| Nikaanza kusema nao mtoto wa kimanyema |
| Mpelampela tu hapa hakuna kusimama |
| Umati uliojitokeza haukuwa Nyuma kurecord kila kinachoendelea...!! |
| Kwa stage moto ulikua bado wa hatari aseeee....... |
| Wakitaka niendelee kumwaga radhi.... |
| Mashabiki wakiwa bado na kiu ya burudani |
| Niendelee ama nisiendeleeee......?nasubiri jibu |
| Nikundelea kukonga moyo tu mpaka kielewekeeeee...... |
| Tumeelewanaaa...... |
| Nikiwashukuru Mashabiki wa Kigamboni kwa support kubwa walionesha kwa PRESIDENT...!! |
| baada ya show tukiwa eneo la kivuko kusubiri panton kuturudisha dar au vipi bana....hapo RJ wit THE TRU BOY(NEY) |
| Dome Platnum & Emma Platnum....wasafiiii beybeeee!! |
| peace out au vipi.....? |
| Picha ya pamoja na Ney wa Mitego a.k.a The True boy....!! |
| Picha ya Pamoja na watu wangu wa nguvu |

No comments:
Post a Comment