Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadik Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku akitokea nchini Ethiopia
ambapo aluhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU)
uliofanyika jijini Addis Ababa(picha na Freddy Maro).
DC KASILDA AWATAKA WAHANDISI KUTOKA MAOFISINI
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka
wahandisi wa Halmashauri kuacha tabia ya kukaa ofisini na bada...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment