Kijana huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na
polisi kwa kosa la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka
wake.Binti huyo alipotea kwao kwa miezi minne na kupatikana juzi taehe
26 baada ya kupata upenyo na kutoroka.Hawa vijana wametoka Kigoma na
walikuwa Kibaha wakitumika kama walinzi katika mashamba ya watu.
VIONGOZI WA UMMA WATAKIWA KUBADILI MTINDO WA KAZI ILI KUFIKIA DIRA 2050*
-
SERIKALI imesema hakuna tena biashara ya kawaida kwa Taasisi, Mashirika ya
Umma na Wakala za Serikali. Waziri Prof. Kitila Mkumbo amesema viongozi
lazim...
2 hours ago



No comments:
Post a Comment