Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 15, 2013

BREAKING NEWS: Mapigano Kariakoo.



Polisi jijini Dar Es Salaam imepambana na baadhi ya watu wanaodaiwa ni waumini wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya Kariakoo.

Licha ya kupigwa marufuku kwa maandamano hayo na jeshi la Polisi wamedai kuwa lengo la maandamano hayo ni kushinikiza kupewa dhamana kwa Sheikh Issa Ponda.

SOURCE: ITV

No comments:

Post a Comment