Askari
Poilisi, wakikatiza katika mitaa ya Posta karibu kabisa na Ofisi za
Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka DPP, kulinda amani na kujiandaa kuwakabili
waandamanaji wanaodaiwa waislam waliopanga kuandamana hadi katika Ofisi
hizo leo baada ya swala ya Ijumaa wakiwa na lengo la kushinikiza
kuachiwa kwa Sheikh Ponda. Askari hao wamelazimika kutumia mabomu ya
machozi ili kuwatawanya waandamani hao ambapo baadhi yao wanashikiliwa
na polisi kwa kukaidi amri iliyotolewa na Jeshi la Polisi ya
kutoandamana.
Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya s...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment