Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 12, 2013

HAWA NDIO WANAOTAJWA TAJWA KUWA NA NAFASI KUBWA YA KUCHUKUA NAFASI YA PAPA



Hii ndiyo orodha ya Makadinali walio katika uwezekano wa juu kabisa wa kuwa Papa baada ya Papa Benedict XVI kutangaza nia yake ya kujiuzulu kwa madau ya kuwa na umri mkubwa.

Cardinal Angelo Scola, Miaka 70, kutoka Italy
Cardinal Marc Ouellet, Miaka 67, kutoka Canada


Cardinal Leonardo Sandri, Miaka 68, kutoka Argentina

Katika orodha pia kuna;
Cardinal Péter Erdő, Miaka 59, kutoka Hungary


Cardinal Odilo Pedro Scherer, Miaka 62, Kutoka Brazil
Cardinal Angelo Bagnasco, Miaka 69, kutoka Italy

No comments:

Post a Comment