Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, February 3, 2013

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Atua Mkoani Kigoma Rasmi Kuongoza Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi(CCM),Mamia Wajitokeza Kumpokea



 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwandishi wa Radio Uhuru FM mara tu alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dkt Asha-Rose Migiro Ikulu Ndogo ya mjini Kigoma
 Wasanii Dokii na Abdul Misambano na wadau wakiwa mjini Kigoma
Msanii Dokiii akicheza na watoto
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibya(kushoto)akinadilishana mawazo na Mbunge Peter Serukamba 
Baadhi ya Wabunge wa CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Ndugu Muhammad Seif Khatib wakiongea na Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi  Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM
Viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiwa tayari kabisa Kumpokea Rais Jakaya Kikwete
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa vyama tawala vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Burundi ambao wamealikwa katika sherehe hizo
Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi  Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment