Francis
Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere,
amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es
Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera. Kushoto
kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).
Magazetini Leo Januari 18, 2025; Sababu Vijana Kufanya Vurugu Msibani
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
1 hour ago

No comments:
Post a Comment