INASIKITISHA:::WAWASHA UMME WAKATI MWENZAO YUPO KWENYE GRID ANATENGENEZA
Fundi
wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa
amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati
akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo. Picha na
Geofrey Nyang’oro
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment