Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 15, 2013

KOCHA WA COASTAL UNION: TUKIFUNGWA NA OLJORO nA RUVU NAACHA KAZI




KOCHA wa Coastal Union, Hemed Morocco ameweka wazi kuwa endapo anafungwa mechi mbili zijazo dhidi ya Oljoro JKT na Ruvu Shootiga atabwaga manyanga.
Morocco alisema hayo baada ya timu hiyo kupata pointi moja Kanda ya Ziwa, kwa kutoka suluhu na vibonge Toto African na kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar.
Alisema yeye pamoja na kocha msaidizi Ally Kidi wamejitahidi kadri ya uwezo wao kuhakikisha timu inafanya vizuri lakini baadhi ya wachezaji hawana nia njema na klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment