MAlikiba The Singer "Pop It In Music" CEO akiwa anaendelea na Valentine TOUR nchini Uingereza baada ya kupiga show hometown ya Manchester United na Manchester City huko Manchester na kumalizia Birmingham City.
Muda huuALIKIBA akiwa ameshajumuika na OMMY DIMPOZ ambae ametua siku si nyingi zilizopita, wapo wanarekodi katika kipindi maarufu sana na kinachoangaliwa na waafrika wengi waishio nchini Uingereza, SPORAH SHOW kinachotengezwaLONDON, UK.
Kwa mujibu wa waandaaji wa Valentine TOUR, CEO wa Bongo-UK Entertainment, DJ Rule na ChrisLuv, the CEO of CHRISLuv Promotionswakiwa ni watanzania waliojikita shughuli zao za burudani nchini Uingerezawamesema kuwa Mastar hawa kutoka BONGO wapiga show ya pamoja tarehe22 February 2013 katika mji wa MILTON KEYNES uliopo nje kidogo yaLONDON ikifatiwa na show nyingine ya Tarehe 23 February 2013 ndani yaLONDON ambayo ndo itakuwa show ya mwisho na stars hawa kurudi home.
No comments:
Post a Comment