KUKUA
kwa teknolojia za fedha ambako kumerahisisha ufanisi wa matumizi na
utunzaji fedha, kunaonekana kugeuka kuwa balaa kutokana na kuibuka kwa
wizi wa fedha zilizohifadhiwa kwenye akaunti za wateja. Taarifa za wizi
huu zilianza kurindima Machi 2010 na Sh300 bilioni ziliibwa kwa njia ya
mtandao kupitia mashine za ATM, kati ya kiasi hicho Sh360 milioni
zikihusisha benki moja ya NBC. Hata
hivyo, mwaka huo walikamatwa watu wanne baada ya kuripotiwa wizi huo
mkubwa, sambamba na taarifa za kukamatwa kwa watu hao alikamatwa
mfanyabiashara mmoja aliyefanya jaribio la kuiba Sh221 milioni kutoka
Benki ya NBC. Wimbi la wizi huo..
Ilimeibuka
tena Oktoba mwaka jana hadi Februari mwaka huu, inakadiriwa Sh700
milioni zimeibwa Benki ya NMB na benki zingine kwa nyakati tofauti.
No comments:
Post a Comment