
kulikuwa na habari siku chache zilizopita kwamba TV Star Kim Kardashian
kutoka Marekani ambae ni mpenzi wa rapper Kanye West, alithibitisha
kwenda Nigeria alikopata mwaliko wa kuhost show itakayofanyika february
17 2013 kuhusu wapendanao, tayari ameshawasili Lagos.

Kim K amewasili akiwa watu wawili, mlinzi mmoja na msaidizi wake mmoja wa kike.

.

.

.

.

Hii ni february 9 2013 kwenye page yake ya twitter.
No comments:
Post a Comment