Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 1, 2013

TATHMINI YA LIGI YA VODACOM YAFANYIKA



001COCK 58166

Baadhi ya wahariri wa magazeti ya michezo wakimsikiliza Katibu wa  TFF Angetile Osiah,wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
002 COCK 893f1
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,akizungumza  na wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
003 COCK ba26f
Katibu wa  TFF Angetile Osiah,(kushoto)Afisa Mtendaji Mkuu wa kamati ya ligi kuu Silas Mwakabinga,pamoja na Mjumbe wa TFF Saad Kwemba,wakibadilishana mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
005.TFF 3eb3e
Mwenyekiti wa  chama cha waandishi wa habari Tanzania Bw.Juma Pinto akizungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
007.TFF 50468
Mwandishi wa habari wa Clouds radio Bw.Shafii Dauda (kushoto)akibadilishana mawazo na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania,Bw.Ibrahim Kaude, wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
008.TFF 07139
Baadhi ya wahariri wa michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakibadilishana mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment