Ikiwa ni
siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko
maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim akitahadharishwa na
msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia kwa
kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa
zilizoko Sinza inayopitwa Shikamoo pesa bar
"ni jana
tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema,
akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i
was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka
kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui
how well am prepared......."
wherever
they are trying to do, they should just understand that, wasije
wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna
jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako
anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wema
No comments:
Post a Comment