| Wananchi wenye hasira kali wakibomoa nyumba ya mama Atupele Kalile akidhaniwa kuwa mchawi maeneo ya ilemi Mbeya |
| Wengine wameshaingia ndani na kuanza kutoa vyombo nje tayari kwa kuvichoma |
| Mtoto wa mama Atupele akijaribu kuokoa vitu vya mama yake visichomwe moto na wanakijiji |
| Vyombo vinazidi kutolewa ndani ilivichomwe moto |
| Tayari wameshaanza kuchoma moto vyombo vya mama Atupele |
| Mwingine anaendelea kubomoa nyumba ya mama Atupele |

No comments:
Post a Comment