Mwanzilishi
wa kampuni ya Push Mobile inayohusika na uuzaji wa miito ya simu,
ringback tone (RBT) amesema Diamond ndiye msanii wa Bongo Flava
anayeingiza fedha nyingi zaidi.
Shamte ametoa taarifa hiyo jana
alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la mchango wa technolojia ya
habari na mawasiliano ICT kwenye tasnia ya muziki nchini katika kituo
cha ubunifu wa technolojia hiyo cha KINU jijini Dar es Salaa
That boy is hot, you have no idea
how much money he makes from RBT, I handle that account true story,”
alisema Rashid. Alipoombwa ataje ni kiasi gani Diamond anaingiza
kutokana kuuzwa kwa nyimbo zake, Rashid alisema, “lots… let’s just say
he is happy.” Lakini Shamte alisema kama angekuwa na umaarufu kama
Diamond alionao angeingiza fedha nyingi zaidi kuliko sasa.
No comments:
Post a Comment