Ikiwa
ni miezi mitatu tu imepita toka nchi nyingine ambayo ni maarufu Afrika
(Kenya) kukumbwa na headlines za kutosha kuhusu raia wake wanaoshiriki
mapenzi ya jinsia moja kupeana tuzo hadharani na kufanya sherehe, leo
tena headlines zimehamia Nigeria.
Ndani ya
miaka mitano iliyopita huko Nigeria kulikua na Kanisa ambalo lina
waumini wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja tu liitwalo House of Rainbow
lakini Kanisa hilo lilipotea baada ya kushambuliwa na wakazi wa Lagos
ambao hawapendezwi na ishu za ushoga na usagaji.
No comments:
Post a Comment