Sehemu ya mbele ya gari ikiwa imefunguliwa kwa uchunguzi zaidi
Picha chini :Askari polisi akilinda sehemu ya madawa ya kulevya yaliyotolewa kwenye gari hiyo
TAARIFA toka mambo ya ndani zimesema kuwa Waziri wa mambo ya ndani Dr.
Emmanuel Nchimbi amewasimamisha kazi badhi ya maofisa wa polisi kwa
upotevu wa madawa ya kulevya uliotokea mwaka jana 2012 mkoani Mbeya
katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi ya maofisa hao ni
kamanda wa kikosi cha upelelezi mkoani Mbeya (RCO) Elis Mwita, naibu
RCO Jacob Kiangi na mkuu wa kikosi cha FFU Charles Kinyongo.
No comments:
Post a Comment